Online Catholic Missionaries (OCM)
Welcome at OCM
"let everything you do, be done in love" 1Cor 16: 13
Pages
Saturday, December 1, 2012
Wednesday, December 21, 2011
MFAHAMU MT. FRANCIS WA SALES
Maelezo mafupi kuhusiana na mtakatifu Francis wa Sales.
Baba yake na Francis alidhamiria kumuona mwanae anakuwa hakimu na hivyo akampeleka shule mapema. Akiwa huko alisoma maswala ya lugha na maswala ya jamii chini ya usimamizi wa Wajezuiti.Akiwa hapo alianza pia kozi ya teolojia HAPA SASA SOMA KWA MAKINI.
Sasa kulikuwa na mijadala mikala sana ya wanateolojia kipindi hicho kkkutoka dini na madhehebu mbalimbali kuhusiana na maswala ya imani na hasa maswala ya predestination(kwamba kama mambo yote amabyo yanatokea ni mapenzi ya Mungu na mungu ameshayapanga. Mf. Kama Mungu amekupangia uende motoni basi hata ufanye nini wewe ni wa motoni) Haya ndiyo yalikuwa baadhi ya mabishano. Mengine ni kama kuhusu Bikira Maria, Ekaristi, wokovu na mambo mengine ambayo humu tunaelekezana. Sasa Mt. Francis aliogopa na kutishika sana hata akaelekea kupoteza tumaini kabisa lakini siku moja ghafla alifunguliwa alipopiga magoti katika sanamu ya miujiza ya Bikira Maria wa Mt. Etienne wa Greez. Basi toka siku hiyo akaweka nadhiri ya usafi wa moyo na kujitoka kabisa kwa mama Bikira Maria.
Sasa ilipotokea reformation ya waprotestant alihubiri sana injili kwa utakatifu wake, upole na ushujaa. Akajitolea kuinjilisha maeneo mbalimbali ikiwemo Geneva Aliyahatarisha sana maisha yake katika kipindi kile kigumu Aliwashinda wahubiri wakiprotestant waliotumwa kwenda kubishana nae na theologians wengi wa kiprotestant wakabadili dini na kurudi ukatoliki.
Wednesday, October 5, 2011
JMJ -Madrid
Dear Rafiki
After a very,very,very long silence, OCMs are back! And after our pilgrimage in Madrid, we are more energetic, as well as firm in the faith
Karibu tena
OCM
After a very,very,very long silence, OCMs are back! And after our pilgrimage in Madrid, we are more energetic, as well as firm in the faith
Karibu tena
OCM
Thursday, April 14, 2011
Back to work
After my disappearance for quite sometime,
Piccolito is back
new season with new waves
Karibu,
Piccola Marie of the Eucharist!
Piccolito is back
new season with new waves
Karibu,
Piccola Marie of the Eucharist!
Subscribe to:
Posts (Atom)